Alikiba atoa sharti ''likitimizwa naachia ngoma''
Mkali wa Bongofleva ambaye kwasasa ametambulisha 'Label' yake ya muziki inayofahamika kama (Kings Music Record Label) ambayo ina wasanii wanne, ametoa sharti dogo kwa wapenzi wa muziki wake kama wanataka ngoma mpya kutoka kwake.