Mbunge aliyehamia CCM, afunguka kushawishi wengine
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abdalah Mtolea amesema hajamshawishi Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Katani kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, na kudai kuwa kiongozi huyo ana msimamo wake binafsi kwa kile atakachohitaji kuamua.