Amnyonga mke wake kisa Pombe
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Josephine Everest ameuawa kwa kunyongwa hadi kufa na mtu anayesadikika kuwa ni mume wake aliyejulikana kwa jina la Baraka Mollel katika kata ya Bagara Wilayani Babati Mkoani Manyara.