Leta picha za mgomo, nakupa mil.10 - RPC Mwanza Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Jonathan Shana Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Jonathan Shana amefunguka kuwa hakuna mgomo wowote ulijitokeza juu ya wafanyabiashara wa soko la 'Mlango Mmoja' Jijini humo kama ambavyo baadhi ya taarifa zinavyosema. Read more about Leta picha za mgomo, nakupa mil.10 - RPC Mwanza