Agizo la Rais Magufuli kwa Taifa Stars Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewatakia mchezo mwema timu ya taifa 'Taifa Stars' katika mchezo wake wa kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 'AFCON' dhidi ya Lesotho. Read more about Agizo la Rais Magufuli kwa Taifa Stars