Kanye West agundua nyumba isiyoshika moto
Rapper Kanye West ‘Ye’ amekuja na mpango wa kujenga nyumba ambayo haitashika moto, baada ya tukio la nyumba yake yenye thamani zaidi ya shillingi Billioni 100 za Kitanzania kuwa miongoni mwa nyumba zilizoungua moto siku kadhaa zilizopita Mjini California Marekani.