''Vera hajatayarishwa wala kujitayarisha''. - AT Msanii wa muziki wa kizai kipya AT amekosoa kitendo cha 'social lite' Vera Sidika kuimba muziki, huku akimtuhumu kuwa hawezi kuimba na badala yake anapiga kelele. Read more about ''Vera hajatayarishwa wala kujitayarisha''. - AT