TAKUKURU yakamata vigogo 7 uhujumu uchumi Makao Makuu TAKUKURU. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Tabora imewapandisha kizimbani Watumishi 7 wa halmashauri 3 za mkoa wa Tabora kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa. Read more about TAKUKURU yakamata vigogo 7 uhujumu uchumi