Makonda aibukia Morogoro na viongozi wake
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameambatana na , Meya wa jiji, Mamea wa Halmashauri na Madiwani wamefanya ziara Mkoani Morogoro kwenye Stand Mpya ya Mabasi ya Msamvu kujifunza namna ilivyofanikiwa kuweka mazingira jumuishi kwa makundi yote wakiwemo wafanyabiashara na wasafiri.