Samatta kutua Lesotho kuipa nguvu Stars
Timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) imeondoka nchini Afrika Kusini leo kuelekea Lesotho ambako itacheza mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2019 dhidi ya Lesotho ambapo nahodha Mbwana Samatta ataungana na timu licha ya kuwa majeruhi.