CUF yamjia juu mbunge aliyejiuzulu
Chama Cha Wananchi wa CUF upande wa Profesa Lipumba umefunguka kuwa waliokuwa wabunge wake na baadaye kuhamia Chama Cha Mapinduzi kwa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuwa ifikapo 2020 wabunge hao wataondolewa kwenye kura za maoni.