Waziri Mkuu apiga marufuku uingizwaji wa mafuta

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya kuhakikisha zinachukua hatua kali dhidi ya watu wote watakaobainika wanaingiza nchini bidhaa za chakula na mafuta ya kupikia kwa njia za magendo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS