Tunatanua magereza,tuwasweke watu ndani - RC Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amebainisha kuwa Mkoa wake unatarajiwa kupanua moja ya gereza mkoani humo ili kuhakikisha wanawasweka ndani watu ambao amewadai kupindisha kile ambacho amekuwa akikiagiza kifanyike.