Bocco amnyoshea mikono Kaseja Nahodha wa klabu ya wekundu wa Msimbazi John Bocco Nahodha wa klabu ya wekundu wa Msimbazi John Bocco amefunguka na kumwagia sifa mlinda mlango wa Kagera Sugar Juma Kaseja kwa kusema yeye ni kipa bora ambae anamuheshimu sana. Read more about Bocco amnyoshea mikono Kaseja