Mashabiki Yanga wapewa utaratibu Klabu ya soka ya Yanga imetoa utaratibu kwa mshabiki wake wanaotaka kusafiri na timu hiyo kwenda jijini Gaborone nchini Botswana kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Township Rollers. Read more about Mashabiki Yanga wapewa utaratibu