"Afande Sele alitafuta pa kutokea "– Vanessa

Msanii wa kike wa muziki bongo ambaye hivi sasa ameachia album, Vanessa Mdee, amesema kitendo cha Afande Sele kumponda kuwa anabebwa, alichukulia poa kwani Afande alitafuta pa kutokea na stress zake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS