Aubameyang aachwa na Dortmund

Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Pierre Aubameyang ameachwa kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo waliosafiri kuelekea jijini Berlin kwajili ya mchezo wa leo dhidi ya Hertha Berlin.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS