Serikali yataka shule kufikishwa mahakamani
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde ameutaka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kuiburuza mahakamani Shule ya Scolastica na Kampuni ya Usafirishaji ya Machare Investment kutokana na kutojisajili na mfumo huo.

