Nina mpasuko kwenye fuvu la kichwa - Wastara

Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amefunguka na kudai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi hapo awali bila ya yeye kujitambua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS