Matonya amekamatwa na madawa China ? Matonya amefunguka kuhusu tuhuma zilizosambaa kuwa amekamatwa na Madawa ya Kulevya nchini China akisisitiza kuwa sio kweli na wala yeye hajawahi kujihusisha na biashara hiyo kwenye maisha yake. Read more about Matonya amekamatwa na madawa China ?