Waziri Mkuu ataka kuona mabadiliko
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara kuhakikisha inadhibiti ongezeko la mimba kwa watoto wa shule ambapo takwimu zimeonyesha kupanda toka watoto 10 mwaka 2015 hadi 55 mwaka 2017

