Safari ya Azam FC yakwama Mabingwa wa historia wa kombe la Mapinduzi Azam FC wameahirisha safari yao ya kuelekea katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya kwaajili ya kucheza mechi mbili za ligi kuu. Read more about Safari ya Azam FC yakwama