"Siwezi kuruhusu walipize visasi"- Mbowe

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe amewataka wanachama wa chama hicho kuwa makini kutokana na hali ya sasa inavyokwenda huku akiwashauri kutofanya vitendo vya kulipiza visasi kutokana na vitendo vya kihalifu vinavyoendelea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS