Yanga yapania kufuata nyayo za Simba

Klabu ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, kupitia msemaji wake Dismas Ten amesema wamejipanga vizuri katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Ndanda FC na kudai wanatoka vifua mbele ili waweze kujiweka sehemu nzuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS