Waziri Majaliwa ataka watatu kukamatwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa (TAKUKURU) mkoa wa Mtwara Bw. Stephen Mafipa kumtafuta popote alipo na kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi Bw. Fortunatus Kagoro kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.

