Maandamano yafika kwa Mambosasa

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu  ya Dar es salaam limewaonya wananchi ambao wanaojiandaa na maandamanoo yanayoratibiwa kupitia mitandao ya kijamii na kusema kwamba wasijaribu kufanya hivyo kwani wataingia kwenye matatizo makubwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS