Wauaji wa Wyne Lotter wazidi kuongezeka Watu watano akiwamo raia wa Burundi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya kula njama ya kufanya mauaji ya mwanaharakati wa kutetea wanyama pori Wyne Lotter. Read more about Wauaji wa Wyne Lotter wazidi kuongezeka