Manula afunguka kuhusu Al Masry Mlinda mlango namba moja wa timu ya Simba Aishi Salum Manula, amesema kuwa wanajipanga vyema kuelekea mchezo wao wa hatua ya kwanza ya michuano ya kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya Al Masry ya Misri. Read more about Manula afunguka kuhusu Al Masry