Yanga SC kuwakosa nyota wake 3 kesho Timu ya Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga SC inatarajiwa kushuka dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam kesho kuvaana na Majimaji FC huku ikiwakosa nyota wake watatu ambao bado ni majeruhi mpaka sasa. Read more about Yanga SC kuwakosa nyota wake 3 kesho