"Tunalazimika kukubali kuuwawa"- Mbowe
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe amewataka wanachama wa chama hicho kuwa waangalifu juu ya usalama wao katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi ili wasiweze kudhurika na watu wenye nia mbaya nao.

