Gerrard amtumia ujumbe mzito Coutinho
Ikiwa ni takribani saa 24 baada ya kiungo wa Brazil Philippe Coutinho kusaini mkataba wa kuichezea klabu ya Barcelona akitokea Liverpool, nahodha wa zamani wa timu hiyo Steven Gerrard amemwandikia ujumbemzito nyota huyo.