Manara awapiga marufuku mashabiki wa Simba
Afisa habari wa Klabu ya Simba Haji Manara amewaonya mashabiki wa wekundu wa Msimbazi kuacha kuwazomea mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga katika mchezo wa kimataifa dhidi ya St. Louis siku ya Jumamosi.

