Yanga yapigwa 'stop' Klabu ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamezuiliwa kufanya mazoezi katika uwanja wa Taifa uliopo Jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi) asubuhi na kulazimika kuenda kufanya uwanja wa Polisi. Read more about Yanga yapigwa 'stop'