BASATA yairuka Miss Tanzania Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limekanusha taarifa iliyotolewa na waandaaji wa shindano la Miss Tanzania ya LINO Agency, kwamba Baraza hilo ni moja ya chanzo cha kukwamisha shindano hilo kufanyika. Read more about BASATA yairuka Miss Tanzania