Mrisho Gambo atumbua wawili Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amewasimamisha kazi Afisa Mifugo wa Wilaya ya Karatu, Mtendaji wa Kijiji pamoja na Afisa Mifugo wa kijiji, kutokana na uzembe wa kiutendaji, kwenye zoezi la kupiga chapa mifugo. Read more about Mrisho Gambo atumbua wawili