Timu za Tanzania zawajua wapinzani Hatimaye klabu za Yanga na Simba zimepata wapinzani wao kwenye michuano ya kimataifa msimu wa 2017/18 kupitia droo iliyofanyika leo nchini Cairo nchini Misri chini ya kamati ya utendaji ya CAF. Read more about Timu za Tanzania zawajua wapinzani