"Wema ananiumiza" - Chuchu Hansy Msanii wa filamu za bongo Chuchu Hansy, amefunguka kuwa anaumizwa sana na tatizo la Wema kutobahatika kupata mtoto mpaka sasa, na watu kutumia kama fimbo ya kumchapia. Read more about "Wema ananiumiza" - Chuchu Hansy