Kinana awatumbua wawili ubunge wa Singida
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameufuta mchakato wa Kura ya Maoni uliotumika kumpata mgombea wa Ubunge, Jimbo la Singida Kaskazini, kutokana na wagombea kujihusisha na vitendo vya Rushwa