Guardiola ampinga Mourinho Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amepinga vikali kauli ya kocha Jose Mourinho wa Manchester United kuwa wachezaji wa City walishangalia vibaya mbele yake baada ya ushindi wa jumapili. Read more about Guardiola ampinga Mourinho