Kiongozi wa chuo kikuu atumbuliwa

Waziri wa elimu, sayansi, teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mkuu wa kitengo cha Manunuzi wa Chuo Kikuu Cha Afya Muhimbili (MUHAS) Nuru Mkali , kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS