Young D alinifanya niimbe nikilia - Amber Lulu Msanii Amber Lulu kwa mara ya kwanza amefunguka hadharani jambo ambalo alifanyiwa na aliyekuwa mpenzi wake, msanii Young D ambalo lilimfanya aimbe wimbo wake wa 'True love' huku akilia. Read more about Young D alinifanya niimbe nikilia - Amber Lulu