"Hatupo tayari kurudisha fedha"- Serikali Serikali ya Tanzania imesema haina mpango wa kurejesha fedha za sarafu ndogo kuanzia senti tano hadi shilingi 20 katika mzunguko wa fedha kutokana na ubebaji wake kuwa mgumu. Read more about "Hatupo tayari kurudisha fedha"- Serikali