CHADEMA wajitoa timu ya Bunge
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewataka Wabunge wake ambao ni sehemu ya Timu ya Michezo ya Bunge la Tanzania, inayoshiriki michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wote wa wajitoe mara moja