Anna Mghwira atua CCM Aliyekuwa mgombea urais 2015 kupitia ACT - Wazalendo Mama Anna Mghwira ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, ametangaza rasmi kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM. Read more about Anna Mghwira atua CCM