Taifa Stars kuboronga Kocha atoa siri
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Salum Mayanga amesema kushindwa kuandaa wachezaji wakiwa bado wadogo na kukosa mipango makusudi ya kuandaa wachezaji ndio sababu zinazopelekea timu kufanya vibaya katika michuano mbalimbali.