Njaa yatajwa kumkimbiza Mtulia CUF
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Kinondoni George Mwingila amepinga vikali sababu zilizotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia na kusema hazina ukweli wowote bali akubali kuwa njaa zake ndizo zilizomkimbiza CCM.