Mchezaji atoa fedha kuepuka jela

Kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Croatia Luka Modric amekubali kutoa kiasi cha £880,000 takribani shilingi bilioni tatu za Kitanzania ili kufuta kesi yake ya kukwepa kodi inayomkabili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS