Mbunge awataja majeruhi ajali ya bomba la gesi Mbunge wa Jimbo la Segerea kupitia CCM Bonnah Kaluwa, amethibitisha kuwepo kwa majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea jana baada ya bomba la gesi kulipuka, katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani. Read more about Mbunge awataja majeruhi ajali ya bomba la gesi