Azam FC yawatoa hofu mashabiki Ikiwa leo ndio nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar, kocha msaidizi wa Azam FC Idd Cheche amesema mashabiki waondoe hofu kwani watatetea ubingwa wao. Read more about Azam FC yawatoa hofu mashabiki