Majeshi ya Polisi Tanzania na Rwanda yaungana
Majeshi ya Polisi ya Tanzania na Rwanda yameunganisha nguvu kupitia Majeshi yao ya Polisi chini ya wakuu wake IGP Simon Sirro Tanzania na RNP Emmanuel Gassana wa Rwanda ili kupambana na uhalifu, ujangili na kuangalia namna ya kutatua matatizo